Yafahamu madhara ya kutokushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu - Chumba Cha Mapenzi -->

Yafahamu madhara ya kutokushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu

Kuna watu wanaoweza kusema wanaweza kukaa kwa muda mrefu bila kukutana na mwanaume/mwanamke na wasipate madhara yoyote…Inawezekana ni kweli,lakini wengi hupata madhara.
Ukidumu bila tendo la ndoa kwa muda mrefu,baadhi ya madhara madogomadogo ni kama kuwa na hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,hii hasa kwa wanawake ambao walishawahi kuwa uhusiano unaokariniana kuoana au waliwahi kuwa kwenye ndoa kisha wakatoka
Kwa wanaume madhara yake ni kupendelea zaidi kuangalia picha za ngono.Kwa wote kwa namna ya wanaume na wanawake huwa na hali ya kusahausahau.Kwa wanawake,wapo ambao hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi.Kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake hupenda kurukia mambo ya watu wengine na wakati mwingine huongea kwa sauti ya hasa kinapotokea migogoro.
Wengine wana uwezo mkubwa wa kutukana au kutoa kauli yoyote unapuuzi.Athari nyingine ni kuumwa na kichwa kwa wanaume na wanawake,kupoteza umakini katika kazi na kwa ujumla sehemu za kazi wengi watu ambao hawataki kusikia mapenzi,siyo viongozi wazuri,wana kauli chafu,hata uamuzi wao mara nyingi siyo mzuri,Ingawa sio wote.Hali kadhalika siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambulzwa kirahisi mno.Aidha unaweza kuanzisha tabia nyingine mbaya kana ulevi,kukaa ofisini tu bila sababu.