Kwanini wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hawapati waume wa kutuoa ?
November 18, 2019
Edit
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi
hatuolewi:
hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda
wanadhani tutashindwa mechi.
wanadhani tutashindwa mechi.
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi
yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake
wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana
kuolewa, kwa nini?
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome