SMS ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUPENDE KILA MUDA - Chumba Cha Mapenzi -->

SMS ZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKUPENDE KILA MUDA

naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua
nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu
ili
kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako
mpenzi.nakupenda sana laazizi
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•