SORRY MADAM 2 - Chumba Cha Mapenzi -->

SORRY MADAM 2

                                    *****SORY MADAM*****(2)

 Mwalimu wa zamu akanitazama kwa hasira akarusha kofi nikalikwepa na kurudi nyuma huku nikijiweka tayari kwa chochote atakacho jaribu kukifanya,Mwalimu wa zamu Mr Kikole akanirushia ngumi ambayo niliikwepa ikapita pembeni.

Waalimu wengine wakaja kumshika mwalimu wa zamu anaye onekana kuwa na hasira na mimi wakamtoa nje ya ukumbi na kusababisha shunguli kusimama kidogo.Mkuu wa shule akaagiza walinzi wanipeleke kwenye kibanda chao wanacho lala na kesi yangu wataisikiliza asubuhi

Usiku mzima sikulala kutokana na mawazo ya kuhisi inaweza ikawa ndio safari yangu ya mwisho katika shule hiyo.

Ila kingine kinachonifanya  nishindwe kulala ni kutokana na hali ngumu iliyokuwemo ndani ya kibanda hicho kwani kina meza na viti viwili na mbaya zaidi hawakunipa hata shuka la kujifunika kujikinga na baridi kali iliopo hapa mkoani Arusha.
Kila wakati ninaangalia saa yangu ya mkononi huku nikiomba asubuhi iweze kufika kwa haraka.Saa kumi na mbili na nusu waalimu wakaanza kuingia katika geti la shule ambalo lipo karibu na kibanda cha walinzi.

Nikamuona Madam Mery akiingia getini na kituo chake cha kwanza akafika katika kibanda nilichopo.Akasalimiana na walinzi waliopo katika kibanda hicho huku akionekana kunishangaa kuniona katika kibanda hicho

“Ehee Eddy vipi mbona huku asubuhi yote!?”
“Madam wee acha tu jana”
“Niache nini sasa jamani kaka zangu naomba nizungumze naye”
Walinzi wakatoka kwenye kibanda na kutuacha na Madam Mery ambaye kipindi ninaletwa na baba yangu kuja kujiunga na shule hiyo alinikabidhi kwake na akawa kama mlezi wangu hapo shule,Nikamhadisia mkasa mzima ulionikuta kati yangu na mwalimu wa zamu Mr KIkole.Hadi ninamaliza kumhadisia Madam Mery akaachia msonyo mkali uliozidi kuniogopesha

“Yule mzee ni mlevi sana utakuta jana alikuwa amelewa.Kwa hiyo wamekulaza huku?”
“Ndio”

“Nani aliye agiza uje kulazwa huku?”
“Head master”(Mkuu wa shule)
“Ngoja nitazungumza nao”

Madam Mery akaaga na kuondoka na kuniacha kibandani.Mida ya saa mbili na nusu nikaja kuchukuliwa na mwalimu mwingine ambaye naye ni mwalimu wa zamu,Tukaingia katika ofisi ya nidhamu na kuwakuta waalimu wengine akiwemo Mr Kikole na wakaanza kunihoji maswali ya tukio ambalo nililifanya jana usiku.

“Inavyoonekana wewe kijana ni jeuri sana ehee?”
“Hapana headmaster”
“Mkuu wa shule unaona jinsi hata jibu lake anavyo ilwekea kibesi yaani anajifanya kidume cha mbegu”

Mwalimu Kikole alinichochea kwa mkuu wa shule nikabaki nikimtazama kwa jicho la hasira

“O level yako ulisoma shule gani?”
“St Joseph nchini Kenya”

“Ahaaa huko ndipo ulipo fundishwa kuwagomea waalimu na kutaka kuwapiga wewe unajiona ni mbabe sana au huo mwili wako mkubwa ndio unakudanyanya?”

Mwalimu wa nidhamu alizungumza huku akinichunguza juu hadi chini

“Hapana mwalimu ninaomba munisamehe”

“Alafu hivyo viatu si sare ya shule na isitoshe hiyo suruali umeshona modal”

“Ndio mwalimu viatu vya vya darasani vipo bwenini.Hivi ni viatu vya kushindia ila suruali hii pia ni yakushindia”

“Kombi gani wewe?”
“PCB”
“PCB gani mjinga mjinga kiasi hicho?”
“Baba yako anafanya kazi gani?”

“Mwalimu samahani mumekuja kujadili kesi yangu ila si kuuliza kazi za wazazi wangu”
“Hahaa haaa haaa wewe dogo ndio unamjibu head master kiasi hicho kwanza piga magoti unasimama simama unadhani upo kituo cha daladala Pumbavu wee”

Mwalimu kikole akazidi kunichochea akionekana kudhihirisha chuki na mimi ambayo sikujua imetokea wapi,Nikapiga magoti na kuendelea na maswli yao ambayo asilimia kubwa ni maswali ya kipuuzi

“Kijana utapotea unaleta ujinga mbele yetu kwanza lala nikumalizie kukuchapa ile fimo yangu ya jana”

“Sir Kikole ngoja kwanza tumaliane naye hiyo fimbo utamchapa mwisho wa mazungumzo”Head master(Mkuu wa shule) alizungumza na kumfanya mwalimu Kikole kurudi katika kiti alichokuwa amekalia

“Kijana hivi unatambua kuwa kwa kosa ulilo lifanya unastahili kufukuzwa shule”

“Mkuu mimi ni sawa sawa na mwanao  sidhani mtoto akinyea kiganja unakikata tafadhali baba yanguu ninaomba nafasi yenu ya mwisho na ahidi sinto fanya tena ujinga kama nilio ufanya jana”

Nilizungumza huku machozi yakinitirika usoni mwangu huku nikimuona mkuu wa shule akiingiwa na huruma.Wakaniomba nitoke nje ya ofisi hiyo wajadili nini watakacho kiamua.Nikiwa nimekaa kwenye benchi lililipo nje ya ofisi za nidhamu nikamuona Salome akiwa ameongozana na rafiki yake mwingine wakielekea katika ofisi za utawala wa shule.Salome akaninyooshea mkono wa kunisalimia wala sikumfatiliza zaidi ya kumuangalia kwa macho yaliyo jawa na hasira

Waalimu wakaniita tena ndani ya ofisi kusikia hukumu waliyo ipanga.Wakafikia hatua ya kunisimamisha shule kwa wiki moja kisha nirudi na mzazi siku ambapo adhabu yangu itakapoisha.

Nikakabidhiwa barua ya kusimamwisha shule.Nikamfata Madam Mery ili aweze kunishauri kwani ninapofikiria kurudi nyumbani ninaogopa kupata kipigo kutoka kwa baba yangu ambaye ni mwanajeshi na siku zote huwa hapendi nifanye ujinga ninakumbuka mara ya mwisho kunichapa hadi nikapoteza fahamu ni pale nilipofeli kidato cha pili na kushika nafasi ya kumi bora kwani siku zote amezoea kuniona nimeshika nafasi ya kwanza au ya pili ndio roho yake huridhika.Na mbaya zaidi mama yangu yupo nje ya nchi kikazi

“Madam siwezi kwenda nyumbani kwani yule mzee ataniua”
“Sasa Eddy mwanangu utaishi wapi?”
“Ninapesa ya kutosha nitachukua chumba hoteli yoyote”

“Ok ila kama hutojail utakuja kukaa kwangu ili kuokoa pesa yako ya matumizi”
“Nitashukuru sana Madam”

“Nenda bwenini kachukue madaftari yako ili uwe unajisomea kwa kipindi chote cha adhabu yako”

“Sawa madam”
“Nenda nakusubiri nikupeke nikakuache”

Kidogo furaha yangu ikaanza kunirejea nikaenda bwenini kuchukua madaftari yangu pamoja na vitabu kisha nikarudi nilipo muacha madam Mery na safari ya kwenda kwake ikaanza.

Atukuchukua muda kufika kwake kutokana si mbali sana na ilipo shule yetu.Akanikaribisha katika masofa mazuri yaliopo katika sebule yake iliyo pangwa vizuri na kutawaliwa na vitu vya thamani

“Madam unaishi na nani?”
“Peke yangu kwani vipi?”
“Kwako pazuri umejua jinsi ya kupapanga”
“Eddy mwanangu acha kunifurahisha.Mimi ni mwanamke inanilazimu kuwa msafi hivi ungeingia ukakuta mavitu yamekaa shaghala baghala nahisi hata wewe usinge kubali kuishi hapa”

“Ila kweli Madam.Ninaruhusiwa kuwasha TV?”

“Washa tu jisikie upo huru kama nyumbani kwenu kwa mzee Godwin.Hivi ameeacha ukorofi wake?”

“Mmmm ukorofi aache wapi yaani hapa nafikiria jinsi gani nitamuanza juu ya hii kesi ili aje huku na akija nahisi ataninyonga mbele yenu”

Nilizungumza huku nikitafuta rimoti ya Tv(luninga) pamoja na redio sabufa iliyopo sebleni humo huku madam Mery akinioshea matunda na kuniwekea kwenye sahani.

Gafla sote tukajikuta macho yetu tumeyatazama kwenye TV(luninga).Kwa bahati mbaya CD iliyopo kwenye redio hiyo ni CD ya filamu za ngono ikionekana Madam Mery aliisahau alipokuwa akiitazama sikujua ni siku gani.

Madam Mery akanitazama kwa jicho la kuibaiba jinsi ninavyo itazama filamu hiyo waliocheza wamarekani weusi huku wakionekana kukubuhu katika swala la kucheza filamu hizo.

Madam Mery taratibu akaweka sahani yake nyenye matunda kwenye meza ya kioo hapo ndipo nikastuka na kujikuta nikiizima TV huku karoti yangu ikiwa inafurukuta katika suruali yangu ya shule niliyo ivaa.

Madam akaondoka sebleni pasipo kuaga huku akionekana kuwa na aibu na kuingia katika moja ya chumba ambacho kina pazia kubwa na zito.Nikaanza kula tunda moja baada ya jindine huku nikijiuliza maswali kumbe hata Madam ni mpezi wa filamu za aina hiyo,Nikamsikia  Madam akizungumza na simu huku maneno niliyoyasikia vizuri ni akimuomba mwalimu mwingine kumsaidia vipindi vyake kidato cha pili kwani yeye atachelewa kurudi shuleni hajisikii vizuri.

Baada ya simu kukatwa sikusikia sauti yoyote zaidi ya ukimya kutawala,Sikutaka kufatilia sana zaidi ya kuendelea kula matunda huku nikifungua fungua kitabu changu cha Physics na kupitia pitia mada rahisi rahisi.

Ukimya ukaanza kutoweka taratibuu baada ya kusikia vilio na miduno kutoka katika chumba alicho ingia Madam Mery.Kama ilivyo wanafunzi kutaka kujionea kila kitu,nikanyanyuka taratibu na kupiga hatua za taratibu hadi kwenye pazia.Nikajikuta nikitahayari baada ta kukuta mlango umefungwa.Nikalisogeza sikio langu taratibu hadi likagusa mlango na kusikilizia ni nini Madam Mery anacho kifanya chumbani kwake kwani miguno inayosikika si ya kawaida

Vilio vya mama mama vikazidi kutawala chumbani kwa Madam Mery huku mihemo kama ya mtu anayefanya mapenzi ikisikika.Nikaanza kupata hofu huenda Madam amepatwa na ugonjwa ambao anahitaji kupelekwa hospitalini.

Nikaunyanyua mkono wangu nikijiandaa kuudonga mlango ila nafsi yangu ikasita.Vilio vikanyamaza gafla na kujikuta nikianza kupiga hatua za haraka kurudi sebleni nilipokuwa nimekaa.Nikasikia vitasa vya mlango vikifunguliwa nikajua Madam anatoka chumbani kwake,nikajifanya nipo bize katika kusoma ninacho kisoma.

Nikayapandisha macho yangu taratibu kutoka chini ya miguu mizuri nyenye rangi nzuri ya kuvutia huku ikiwa imevalishwa vijicheni kwa kila mguu na kuendelea kuyapandisha macho yangu yakatua kwenye magoti mazuri yaliyounganisha mapaja yaliyozibwa na kanga iliyoanzia kifuani na kuficha chuchu zilizo jaa vizuri na kuonekana vizuri.Macho yangu yakatua usoni kwa sura ya Madam Mery iliyojaa jasho kwa mbali

“Eddy unasoma nini?”
“Kuna maswala ya Electrons ninayatazama tazama”
“Soma mwaya ngoja mimi nikaoge kuna panya nilikuwa ninamtafuta huko chumbani kwangu ana niharibia nguo kama nini”
“Ume mpata huyo panya?”
“Sijampata labda ukanisaidie”

Nikanyanyuka na Madam Mery akaniruhusu niingie katika chumba alichotoka dakika kadhaa zilizopita kisha yeye akaelekea bafuni.

Nikajikuta nimesimama huku nikiwa nimejishika kiuno nisijui ni wapi nianzie kwani vitu vizuri ambavyo vipo kwenye mpangilio mzuri sikuamini kama kuna panya anaweza kuishi humo ndani.

Nikapiga magoti na kuinama na kuchungulia chini ya uvungu ila sikuona dalili ya kuwemo kwa panya.Ila nikakiona kitu kirefu kiasi ikanilazimu kuingiza mkono wa kulia kuweza kukitoa kitu hicho.Nikabaki nimeduwaa baada ya kitu hicho kufanania kama karoti za wanaume

Nikiwa ninaenedelea kuichunguza vizuri Madam Mery akaingia huku khanga yake aliyo ivaa ikiwa imelowana kwa maji na kushikamana na mwili wake na kumchoresha maungo yake vizuri ikiwemo makalio yake makubwa ambayo siku zote akipita mbele ya wanafunzi wa kiume tuliishia kunong’ona nong’ona huku tukibaki tunamtamani kwa macho

“Madam sijamuona panya” Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha kwa nyuma ili asiione.

Madam Mery akanitazama  kwa macho yanayo ashiria kitu ila sijui ni kiti gani na taratibu akaanza kupita mbele yangu na kwenda alipo tundika taulo lake na kuanza kujifuta maji huku akiwa amenipa mgongo huku mguu wake mmoja akiuweka juu ya meza kisha akainama kidogo ili kuvifikia vidole vya mguu huo alio uweka katika meza na khanga aliyoivaa kwa jinsi ilivyonaatana na mwili wake imeingia kidogo katikati ya mstari wa makalio yake na kuyafanya yagawanyike kama vilima viwili vy Kibo na Mawezi tunavyoviona katika mlima Kilimanjaro