kali ya mwaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆 - Chumba Cha Mapenzi -->

kali ya mwaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆

Zuberi alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi
yake mtaalamu wa yale mambo yao
ya Sumbawanga, akampachika Zuberi
jinsia ya kike alipofika mahakamani
kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito kwasababu mimi pia ninajinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi wakaenda kumkagua basi akashinda kesi, kufika
nyumbani Zuberi akawakuta watu
wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?
Akaambiwa bibi yako amefariki.
😭😭😭😭😭😭😰😰😰
*Mungu hapendagi ujinga* ðŸ˜‚😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆
Kwa sasa Zuberi anaitwa zubeda😀😀😀