acha ujinga - Chumba Cha Mapenzi -->

acha ujinga


PATA HASIRA KWANZA😆😆*SHULE BILA ADA:*
*Saa11 Kila Siku unakurupuka kuwahi barabarani kutoka huko BONYOKWA unakoishi, ili uwahi Posta Mpya Ulikoajiriwa...*
*Wewe ni Msomi mwenye Digrii, na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2 YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER, na wakakupa Mshahara wao wa 750,000 Kwa Mwezi...*
*Baada ya Mwaka Mmoja ukajihisi UNA HADHI huna haja ya kurukia Daladala kama wengine,ukajibandika KAMKOPO KA PASSO ambako unakatwa LAKI 4 Kila Mwezi na unabakiza 350,000 inayoenda Mfukoni kila Muamala Ukisoma...*
*Pale Chini ya Ghorofa la Ofisi unakofanya kazi yuko Kijana, Mchafu Mchafu, ANAOSHA MAGARI, na kila "MABOSI" mkifika wote mnamuachia Funguo za Magari yenu ya Mikopo Awaoshee...Mtaji wake ni KOPO LA FUNGUO, SABUNI na MAJI anayochota kwenye Kimtaro karibu tu na mnakopaki gari zenu..*
*KWA SIKU anaosha MAGARI 30,ya Mabosi Nyinyi kwa Shilingi 3000 kwa Kila Gari...Anakula Wali Maharage Kibandani kwa Sh 800 tu wakati WEWE na "HADHI YAKO" unaenda kula YMCA Canteen, IFM Restaurant au KFC, ili Kulinda Hadhi ambayo Actually HUNA!*
*Mshahara ukitoka,wewe una 350,000 Mfukoni,ila Kijana huyu Mchafu Mchafu anayekula kwa Mahesabu,ambaye sometimes kwa kuona ANA HALI NGUMU huwa unamuachia hata CHENJI imsaidie, Anatengeneza Sh 3000x Magari 30 x Siku 30 =2,700,000 (Milioni Mbili na Laki Saba Kwa Mwezi, NON TAXABLE!*
*Tai Kubwa,Viatu Vimeenda Upande,Mkopo wa Gari, HELA HAITOSHI, ila TITLE KUBWAAAA Ofisini unazunguka kwenye Kiti, Kila Siku una STRESS na unashangaa huyu kijana ANASMILE KILA SAA na Kukusalimu "Shkamoo Bosi" na unajiuliza Huyu Maskini Mbona Ana Raha Kila Siku na Mimi Majanga??*
*NANI MASKINI KATI YENU???*
*NANI BOSI WA KWELI???*
*Wake Up Brother/Sister, Find a Plan B for Your Life, Wewe sio Mjinga wa Milele Uamua Kutulia tu.Tumia uwezo wa akili yako ipasavyo..Unalipwa Laki 4 DSM Hii, HUJALA, HUJALIPA KODI, HUJANUNUA UMEME, HUJASAIDIA WAZAZI KIJIJINI, HUJATOKA NA FAMILIA OUT na HUNA KIPATO KINGINE ZAIDI YA AJIRA lakini Unahisi UKO SAWA TU* *Jipime kama kweli unahitaji maendeleo.*
*UTUMWA* *UMESHAISHA.HUU NI WAKUJITAKIA ..!*
*Dear Loan Officer,Do you need Another Loan to Buy BRAIN ?*
*stayConnected*
*#ur doctor was around*