ZIJUE DALILI ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA - Chumba Cha Mapenzi -->

ZIJUE DALILI ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

1/mara nyingi upendelea kufurahi kwa kila kitu unachofanya. Unapoongea kitu cha kuchekesha yeye ufurahi zaid ya wengine
2/ujikuta anakugusa pasipo sababu
Anapoongea kuhusu jambo lolote ujikuta anakugusa bila kujielewa… Mda mwingine anaweza kukushika ili akuongozeee
3/awezi kukosa kitu cha kuongea na wewe
Anaweza kukaa mda mwingi na wewe kupiga Story ambazo hazieleweki ili mradi msikae kimya mda mwingine anahitaji ufurahie Story na yeye
4/Mda mwingine uficha hisia zake kwako
Kama uelewi unaweza ukaamini hana mapenziii hii yotee kwa sababu anakupenda sana anajaribu kuficha hisia zake ili usije ukamtesaaa kwa jinsi anavyokupenda
5/kwenye kuchati unapomuanzishia Story yeye uwa anaendeleza sms na kufanya chatting iwe ya mda mrefu na usipojibu sms Mara nyingi ukasirika
6/Upendelea mara nyingi Rafiki zake wa karibu wajue kama wewe ni mpenzi wake ataki kukuficha mbele za watu. Mara nyingi upendelea kukuonyesha mbele za watu wakujue na akiwa na marafiki zake anapendelea kukaa karibu na wewe.
7/Ni vigumu kuweka wazi ugomvi wenu kwa watu
Unaweza mkaachana na ugomvi mkubwa lakini utashangaa kuona Rafiki zake wanakutambua Kama shemeji yao na pia siku moja unaweza ukakuta sms yake kwenye simu yako
8/macho yenu mara nyingi ukutana mkihangariana Kama hamfahamiani
Kutokana anakufikiria sana mara nyingi akipita maeneo unayoishi uchungulia kila upande hili aweze kukuona au Kama mpo darasa moja upande unaokaa upendelea kupiga pichooo hili akuone tu