WANAUME WENGI WA BONGO WANAITWA WANA VIBAMIA KWA SABABU ZIFUATAZO…….. - Chumba Cha Mapenzi -->

WANAUME WENGI WA BONGO WANAITWA WANA VIBAMIA KWA SABABU ZIFUATAZO……..

Wanaume wa Tanzania ni wanaume kutoka jamii tofauti yaani tamaduni, jiographia, uchumi lakini hizi ni baadhi ya Tabia walizo nazooo
WANA VIBAMIA
Ukweli wa vibamia ni kutokuwa na pesaa. Ugumu wa pesaa Tanzania ndio umeletaa neno vibamia kwa vijana wakitanzania na maana wanawake wametangaza neno VIBAMIA na matapeli wanalitumia vizuri katika kupata pesa kurefusha uume lakini ukweli ni kwamba mwanaume kibamia sio tatizo kupitia
WANAPENDA KULELEWA
vijana wengi wa Tanzania wanapendelea kulelewa na wanawake wenye uwezo wa kipesaa.Wanapenda mwanamke wake achukue majukumu yake katika familia
WAMBEA/WATU WA VIJIWENI
wanapenda Sana kukaa vijiweni hii hinawapelekea kuwa na Tabia za kusemana yaani kujadili watu wanahopita kuliko maendeleo
WANAPENDA KWENDA UGHAIBUNI
vijana wengi wa Tanzania wanapenda kwenda nje ya nchi. Hii ni kwa sababu ya ugumu wa maisha na pia kutopenda kufanya kazi ngumu.
WAKIPATA PESA AU CHEO WANAVIMBA/WABAGUZI
vijana wengi wa Kitanzania wakipata pesa wanasahau jamii nzao na marafiki pia. Wakiwa na cheo makazini wanavimba mpaka wanapelekea utoaji mbovu wa huduma
WAPENDA NGONO ZEMBE
Tafiti zinaonyesha ni vijana wachache wanafanya ngono salama wakitanzania wengi wao wanafanya ngono bila kuvaa mpira au ngono nyuma ya maumbile
WANAKATAA WATOTO WAO
vijana wachache wa kitanzania wanao Lea mimba mpaka mtoto. Wanafanya ngono na msichana bila condom akimpa mimba anakimbia.
WANAPENDA KUJIPENDEKEZAA
hii ni sababu kubwa inayowafanya vijana wakibongo kushinda mashindano makubwa Kama big brother interaction with other society ni rahisi kwao ndani ya mda mfupi kumzoea mtu