Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache - Chumba Cha Mapenzi -->

Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache

1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi
3. umjengee mazingira ya kukuomba kufanya mapenzi anapo jisikia si kufuata ratiba zako tu

4.Usimfanye akasirike anapo kuwa na wewe hata kama kakosea mweleze kwa busara na ikiwezekana uwe unahakikisha anafurahia kila jambo lako na maanisha fanya mambo anayoyafurahia mara nyingi.
5. kuwa mbunifu wa mapenzi na mfurahishe kwa zawadi
6.Msaidie kutatua shida zake za kila nyanja kadili unavyoweza
7.Kumbuka wasichana wana mambo mengi mfano kila mwezi wanaingia bleed(anahitaji pedy na kumjali), kusuka, vipodozi, nguo hasa za ndani,n.k jitahidi kuitumia pocket yako karibia nusu ya pesa yako atumie yeye!