TABIA ZA WANAUME WACHEPUKAJI - Chumba Cha Mapenzi -->

TABIA ZA WANAUME WACHEPUKAJI




1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,
Wanaume roho zao wanazijua wenyewe



BONYEZA APP HAPO CHINI

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mapenzi.ya.chumbani.kby