MWANAMKE NI MTULIVU NA MUELEWA SANA - Chumba Cha Mapenzi -->

MWANAMKE NI MTULIVU NA MUELEWA SANA

Read More




Mwanamke ni mtulivu sana akiwa na mwanaume mwenye utulivu pia na mwanamke ni muelewa sana akiwa na mwanaume muelewa pia,,,hujenga hisia nzuri kwa mwanaume anaejari na kuthamini,,,na mwanamke huthamini sana moyo wa mwanaume mwenye pendo la dhati na mapenzi bora kwake.


https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mapenzi.ya.chumbani.kby

Related Posts