KUMNYONYA MWANAMKE AU MWANAUME AU KUFANYA MAPENZI MDOMONI HUSABABISHA KANSA YA KOO
May 29, 2019
Edit
Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai ama mtu aliyeathirika kutokana na tabia flani akitoa ushahidi.
Muigizaji mkongwe mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake la kansa ya koo lilisababishwa na tabia yake ya kufanya mapenzi mdomoni(oral Sex)
Nguli huyo wa filamu alifunguka alipofanyiwa mahojiano na gazeti la The Guardian la marekani ambapo alikanusha tetesi ambazo wengi walikuwa wanaziamini kuwa uvutaji wa sigara na ulevi ndio uliosababisha yeye kupata kansa ya koo.
Alisema ugonjwa alionao umetokana na maambukizi ya virusi vinavyojulikana kama Human papolloma Virus (HPV) ambavyo vinasababisha magonjwa ya zinaa.
Douglas aligundua kuwa na kansa ya koo august 210, na akaanza kufuata matibabu ambapo alipitia hatua nne, lakini pia akapitia matibabu ya kina (intensive course of chemotherapy and radiation), na kufikia january 2011 alikuwa ameweza kwa kiasi kikubwa kupambana na maradhi hayo.
Angalizo:
Tulikuwa tunasubiri mfano, na huu ni mfano hai unaothibitisha kuwa penzi la mdomoni na kunyonyana nyeti zetu ni hatari kiafya kwa kuwa husababisha kansa ya koo ....
Kuna njia nyingi za kuandaana kabla ya tendo.Hivyo si lazima tukatumia mdomo.