SMS ZA MAPENZI KWA MPENDAE - Chumba Cha Mapenzi -->

SMS ZA MAPENZI KWA MPENDAE


Ni kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba unampenda,unamkumbuka na unamjari sana. 
hizi ziguatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako

namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na
ni furaha yangu kusikia u hali gani
.........................
ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika
ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa
wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho
usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyoijua.g9t
......................
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu ili
kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi.nakupenda sana laazizi
........................
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
.......................
lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema


s