FURAHA NA TABASAMU KATIKA MAPENZI HULETWA NA MAMBO TOFAUTI TOFAUTI - Chumba Cha Mapenzi -->

FURAHA NA TABASAMU KATIKA MAPENZI HULETWA NA MAMBO TOFAUTI TOFAUTI




1.KUTHAMINIANA
2.KUSIKILIZANA
3.KUHESHIMIANA
4.KUSHAURIANA
5.KUPENDANA
6.HOFU YA MUNGU
7.KUSAMEHEANA
8.KUAMINIANA
9.KURUHUSU MIJADALA YA SAFARI YENU MLIPOTOKA(IKIBIDI)NA MUENDAKO
Zaidi ya yote unapaswa kujua mpenzi ulienae anatokea familia tofauti na wewe,,malezi tofauti,,elimu tofauti na wewe hivyo basi anaweza kuwa na tabia tofauti ambazo huzipendi wewe kutokana na makuzi yake,,,,,mbadilishe kwa kuongea nae kiukarimu anaweza akabadilika na kuwa bora kwako,,NA si kumforce au kumchukia kwa madhaifu yake.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mapenzi.ya.chumbani.kby