Mahitaji Muhuimu Kwa Mwenza Wako - Chumba Cha Mapenzi -->

Mahitaji Muhuimu Kwa Mwenza Wako


Kama upo Mapenzini na unataka kuwa na penzi lenye furaha, inaweza kuwa ndiyo kwanza unaanza maisha ya mapenzi na unategemea ndoa, au unaweza kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu na ndoa ipo hali mbaya kiasi kwamba unajuta kwa nini upo kwenye ndoa au inawezekana wewe ni mmoja ya wanandoa ambao wanafurahia kuwa kwenye ndoa na unapenda kujifunza zaidi na kuwa na ndoa yenye kumpa Mungu utukufu zaidi.

  
Image result for picha za utupu za wadada africa

Jambo la msingi ni kwamba unaweza kuijenga ndoa imara kama utajifunza kufahamu mahitaji ya mwenzako na kuyatumia.

Bila kutimizwa kwa haya mahitaji muhimu wapendanao wengi hujikuta katika matatizo makubwa baina yao.
Mahitaji ya mwanaume na mwanamke ni tofauti hivyo basi kila mmoja anahitaji kuwa makini kujua upande mwingine unahitaji kitu gani na si kuhitaji tu bali kutimiza.

Mahitaji matano muhimu ya mwanaume katika ndoa


Kuridhishwa kimapenzi 


Mtu wa kuandamana naye


Mke anayevutia


Msaada nyumbani,


Kuwa na mwanamke anayemuhitaji .



Mahitaji muhimu ya mwanamke katika ndoa

Kuridhishwa kimapenzi 

Upendo,

Mtu wa kuongea naye

Uwazi na ukweli

Kutimiziwa hitaji la fedha


Mwanaume anayejali familia


Kwa mwanandoa kukosa moja ya hayo mahitaji muhimu huweza kutengeneza kiu ambayo lazima ipate maji.
Baada ya mwanandoa kukosa mahitaji hayo muhimu anaweza kushawishika kuanza kutafuta kutimizwa nje ya penzi lake.

NB:
Hata kama mwanandoa mmoja anashindwa kutimiza mahitaji muhimu kwa mwenzake kutoka nje ya ndoa si suruhisho au jawabu kwenda kukipata kile unakosa.



Njia sahihi ni kukaa pamoja na kuelezana kwa upendo kila mmoja kueleza kile anakosa na kuendelea kulijenga penzi lenu kwa pamoja kwani huko nje kuna Mbwa Mwitu ambao kama si kuweza kukutafuna mzima mzima basi unaweza kuangamiza familia nzima.