Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa - Chumba Cha Mapenzi -->

Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Related image

Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu. Mara simu ýÀñgΓΉ ikawa inaita. Kucheki namba ngeni. Nikapokea baada ya salamu. Me→nani mwenzangu?? Boss→we hunijui me ?? Me→usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga.. Kwa sasa nazurura tu mtaani na roba langu La machupa

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚