ZIFAHAMU NJIA ZINAZOTUMIKA KUTOA MIMBA KITAALAMU BILA PALE INAPOBIDI. - Chumba Cha Mapenzi -->

ZIFAHAMU NJIA ZINAZOTUMIKA KUTOA MIMBA KITAALAMU BILA PALE INAPOBIDI.




makala hii imeandikwa kwa ajili ya elimu kwa watu wanaosomea fani za afya na watanzania wanaoishi nchi ambazo kutoa mimba sio kosa kisheria.nchini tanzania kutoa mimba ni kosa na adhabu yake ni kali. sheria ya tanzania inaruhusu kutoa mimba zilizoharibika au kutoa mimba pale unapoona kwamba mimba ile ni hatari kwa maisha ya mama na kazi hii hufanyika na daktari.
kuna njia mbalimbali zimekua zikitumiwa na watu wengi ambao sio wataalamu kutoa mimba ambazo hazitambuliki kitaalamu na zimeua watu wengi.njia zifuatazo hutumika....

manual vacuum aspiration; hii ni njia ya kuharibu mimba iliyoharibika au mimba iliyo hai, vifaa vinavyotumika hapa hupatikana hospitali tu. lakini pia kifaa hiki hutakiwa kutoa mimba yenye wiki 3 mpaka wiki 7...chini ya umri huo wa mimba au juu ya umri huo kifaa hicho hakitafanya kazi vizuri.

jinsi ya kutumia; muweke mgonjwa wako kwenye position nzuri kitaalamu kama lithotomy position, mpe dawa ya maumivu au usingizi, safisha uke wake kwa kutumia vifaa maalumu ikiwemo gozi au pamba na ant septic, taratibu ingiza speculum ukeni mpaka uone cervix vizuri, chukua manual vacuum aspirator ivute ili kujaza vacuum ndani ya mashine hiyo kisha ingiza taratibu ndani ya mfuko wa uzazi kupitia cervix huku ukizungusha huku na huku kwa angalau dakika moja....hapo utaona damu inaingia ndani ya aspirator yako, ukiona hivyo toa na umwage kwenye dishi la maji, rudisha tena uendelee kuvuta mpaka uone damu imeisha kabisa..baada ya hapo mtoe mama pale avae pedi kisha apelekwe akapumzike na aandikiwe antibiotic na dawa za maumivu mfano doxycline  za siku tano na panadol za siku tatu. epuka dawa za jamii ya diclofenac yaani nsaids kwani huweza kusababisha damu kutoka nyingi.
faida za njia hii
mimba hutoka ndani ya dakika tano za kazi..
hakuna mdhara makubwa ya kutisha.
changamoto ya njia hii;
maumivu makali wakati baada ya mimba kutoka
kazi hii hufanyika na daktari tu au mwanafunzi wa udaktari chini ya usimamizi.
haiwezi kutoa mimba kuba zaidi ya wiki saba.
                                                     

dilatation and curratage; hii procedure ni maalumu kwa ajili ya kuondoa mabaki kwenye mji wa mimba, kama baada ya mimba kuharibika au mabaki ya kondo la mtoto baada ya kujifungua lakini pia hutumika kutoa mimba ya  kama ifuatavyo.
muweke mama kwenye position kama nilivyotaja juu, unaweza kumchoma sindano ya maumivu au dawa ya usingizi kwani maumivu ya hapa ni makali kidogo..safisha sehemu zake za siri ili uiingize uchafu wa nje huko ndani ya mfuko wa uzazi, ingiza speculum taratibu mpaka uone cervix au mlango wa uzazi, chukua kifaa kinaitwa teneculum uishike cervix na kifaa hicho ili isicheze, chukua dilator kulingana na ukubwa wa mlango wa cervix kisha tanua mpaka upate nafasi ya kutosha, ingiza currete kisha anza kukwangua na kama una kuna nazi... endelea kuondoa mabonge ya damu na nyama mpaka uone povu la damu ndio ujue umemaliza kila kitu.
faida za njia hii..
huweza kuharibu mimba kubwa kuliko njia ya kwanza
huchukua muda mfupi kama mimba ni ndogo
changamoto ya njia hii
unaweza kukwangua mfuko wa ndani kabisa unaoshika mtoto[endometrium] na kusabisha ugumba wa moja kwa moja.
Unaweza kutoboa mfuko wa uzazi na kusababisha mwanamke akatoka damu mpaka kufa na matibabu ya ajali hii ni upasuaji tu.[watu wengi wamekufa sababu ya hii]
lazima afanye daktari au daktari mwanafunzi chini ya usimamizi.
                                                       

njia ya vidonge; njia salama kabisa ya kutoa mimba nzima au iliyoharibika hata ikiwa na miezi tisa lakini njia hii sio nzuri sana kwenye mimba chini ya wiki nne.inafanya kazi vizuri zaidi kwanzia mwezi mmoja mpaka miezi tisa. vidonge vinavyotumika kutoa mimba haviuzwi reja reja hasa kwa nchi ambazo haziruhusu kutoa mimba kama tanzania lakini kwa nchi kama china au marekani vidonge hivi hupatikana madukani na mtu anaweza kujitoa mimba akiwa nyumbani tu lakini kwa mimba kubwa iliyofia tumboni inabidi aende akawekewe hospitali chini ya usimammizi.
vidonge hivi kwa jina la cytotec, kitaalamu ni kwamba mimba kubwa zaidi inakua sensitive sana yaani inatolewa kirahisi na dawa hizi kuliko mimba ndogo hivyo mimba chini ya miezi mitatu inatumia vidonge vingi zaidi kuliko mimba ya zaidi ya miezi mitatu na zaidi.
jinsi ya kutumia
kupitia mdomoni; kama mimba ina miezi mitatu kushuka chini weka vidonge vinne vyenye micogram 200 kwa kila kimoja chini ya ulimi kila baada ya masaa matatu mpaka umalize dozi tatu yaani vidonge 12.kama mimba ina miezi mitatu kwenda juu weka vidonge viwili vivo hivo. baada ya muda damu ya mabonge itaanza kutoka, kisha anza dawa za antibiotic na zile za maumivu. mara nyingi damu huendelea kutoka kidogo kidogo mpaka wiki tatu wakati mwingine lakini ukiona inatoka nyingi sana kama ya kujaza pedi moja ndani ya saa moja kimbia hospitali haraka.
kupitia uke; kama mimba ina miezi mitatu kushuka chini weka vidonge vinne  kwenye uke kisha weka vingine baada ya saa 12, wakati unaweka dozi ya pili mara nyingi utakuta damu imeshaanza kutoka.[kumbuka wakati unaweka lala chali viingize mpaka usikie umegusa mwisho wa uke kisha viache hapo, pumzika anangalau saa moja, ikiwezekana viweke wakati wa kwenda kulala usiku ili visidondoke] kama mimba ina miezi mitatu kupanda juu weka viwili kisha viwili baada ya saa 12.kumbuka antibiotiki na dawa za maumivu..
angalizo; njia za kuweka kidonge kimoja chini na sijui viwili mdomoni hazina uhakika na zinaweza chelewesha kizazi kuchelewa kufunga na kumwaga damu nyingi sana.
faida za njia hii;
mtu anaweza kutoa mimba mwenyewe akiwa nyumbani kwake na hii ni kawaida kwa nchi zilizoendelea.
sio rahisi kupata ugumba au kutokwa na damu mpaka kifo hasa ukizingatia masharti hayo rahisi.
changamoto za njia hii
maumivu makali wakati mimba inatoka hasa mimba kubwa.
madhara madogo madogo kama kuharisha sana.
dawa hizi hazipatikani kirahisi japokua hutumika pia kutibu madonda ya tumbo lakini unapewa na dakatri ikithibitika kweli una madonda ya tumbo.
                                                             

dalili za hatari baada ya kutoa mimba;
kutokwa na harufu kali muda baada ya mimba kutoka.
maumivu makali sana yasioisha baada ya mimba kutoka
homa kali sana.
kutokwa na damu nyingi  sana ya kujaza pedi moja kwa saa moja...,ukiona dalili hizi wahi hospitali.
mwisho; nitoe onyo kama nilivyosema mwanzo, kutoa mimba ni kosa kisheria nchini kwetu,,, makala hii ni maalumu kwa watu waishio nje ya nchi na madaktari wanafunzi ambao waliniomba sana niwaandikie lakini pia kwa wanaotaka kufahamu tu lakini sio kuzitumia..kumbuka mimba ikishatoka kile kipimo cha mimba kinaendelea kusoma mistari miwili mpaka baada ya wiki tatu. mpaka mwezi. kwanini?  kipimo kile kinasoma homoni ambazo zinaitwa kitaalamu kama human chorionic gonadotrophin hormone ambazo hupungua taratibu sana baada ya mimba kutoka. hivyo ukitoa mimba leo na damu ikatoka ukaenda kupima bado itakua inasoma mistari miwili.