Ukitakaa kuishii kwa furahaa na amani na ndoa yakoo usiifananishe na ya mtu mwingine,,ishi maisha yako ya ndoa kwa ubunifu wako huku ukimwomba Mungu maana kila ndoa ya mtu ina kusudi la Mungu mfano kufananisha ndoa yako na mtu ambae inamzinguà huwezi juaa kapangiwa nini na munguu na nikwanini anapitishwaa kwenyee ndoaa hiyoo,, hamnaa anaetakaa ndoaa ya shidaaa ispokuaa Mungu huendaa anapimaa au kaingiaa kwenye ndoa isio yakeee.....