SMS nzuri ya kimahaba kumwambia mpenzi wako jinsi unavyotamani uwe naye kila sehemu na kila wakati - Chumba Cha Mapenzi -->

SMS nzuri ya kimahaba kumwambia mpenzi wako jinsi unavyotamani uwe naye kila sehemu na kila wakati

Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila
ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia
mafanikio mema kwasababu nakujali.