MKASA:: BWANAHARUSI AKIMBIA SENDOFF - Chumba Cha Mapenzi -->

MKASA:: BWANAHARUSI AKIMBIA SENDOFF




Wakuu hii imekaaje,sitosema nilipo maana inawezekana mhusika akawa humu,
Kisa ni kwamba kuna dada mmoja wa kitaa,huwaga ananata sana kama super glue,naye yamemkuta,kuna mwana alimuotea akaahidi kumuoa,akafuata taratibu zote kuelekea kwenye ndoa,ila siku ya sendoff mwana hakutokea,ikawa aibu kubwa kwa huyu mwanamke na familia yake,hivi mkasa kama huu umewahi kutokea kweli somewhere?sasa hivi huyu mwanamke amekuwa cha wote,
Mdada aliyekuwa anajifanya yupo makini na mambo yake ya maisha,kaja kuumbuliwa na mhuni tu,mtaani minong`ono haiishi na maneno ya kumlaani kuwa atakula jeuri yake,leo nimemuona nikakumbuka kulileta tulijadili na kupeana uzoefu kwa waliowahi kukutana au kuusikia mkasa wa namna hii,
Mimi nimeshangaa sana na kumhurumia huyu mwanamke traffic officer!

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mapenzi.ya.chumbani.kby