KUUMIZWA NI SEHEMU YA MAISHA ILA KUENDELEA KUUMIA NI MAAMUZI YAKO - Chumba Cha Mapenzi -->

KUUMIZWA NI SEHEMU YA MAISHA ILA KUENDELEA KUUMIA NI MAAMUZI YAKO



Kuna watu wanajiingiza katika mapenzi au mahusiano na watu ambao sio sahihi kwako,,,,,,mwisho wa siku wanakuja na hadithi za kuyachukia mapenzi,,,,,,kumbe tatizo sio mapenzi,,,,,bali tatizo ni wao wenyewe kwa kuwakurupukia wapenzi wasio sahihi.