INSTAGRAM NA FACEBOOK WATOKOMEZA UCHOCHEZI KWA NJIA HII - Chumba Cha Mapenzi -->

INSTAGRAM NA FACEBOOK WATOKOMEZA UCHOCHEZI KWA NJIA HII



Mtandao wa kijamii wa Facebook umewafungia kutumia mtandao huo Alex Jones, pamoja na Mhubiri wa dini ya Kiislam Louis Farakhan kwa kukiuka masharti waliyowekewa ya kutokuandika maudhui yenye chuki na uchochezi mtandaoni.

Kufungiwa huko kunaenda sambamba na matumizi ya mtandao wa Instagram ambapo pia upo kampuni moja na Facebook.

Inaaminika kwamba Farakhan na Jones ni maarufu mtandaoni kwa kutoa mihadhara yenye dhana na njama danganyifu pamoja na potofu kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamiii


INSTALL APP YETU KWA KUBONYEZA HAPA


https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mapenzi.ya.chumbani.kby