EPUKA MAISHA YA COMPARISON KATIKA MAHUSIANO YAKO - Chumba Cha Mapenzi -->

EPUKA MAISHA YA COMPARISON KATIKA MAHUSIANO YAKO


Kinachowaponza WADADA/wanawake wengi ni comparison,,, ukiona mwenzako kafanyiwa hivi na wewe unataka,,unasahau kuwa wanaume wenu ni watu wawili tofauti,,vipato,,malengo,,kazi,,background na kadhalika ni tofauti,,ukikutana na mtu kabebewa pochi na kashikwa mkono NA wewe unataka kumbe umeolewa na mzee was kazi tu na hizo mbwembwe nyingine zote ni kupotezeana muda,,usijaribu kumbadilisha awe mtu mwingine,,
Utajichosha bure,,utalia bure,utasononeka bure kwa vitu ambavyo havina msingi na hautafanikiwa,,mjue mwanaume wako huyo uliyemchagua,,funga macho usione hao wengine huko nje wanafanyaje,,halafu nenda nae hivyo hivyo alivyo,,itakupunguzia stress nyingi sana.