Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari 😂😂 - Chumba Cha Mapenzi -->

Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari 😂😂

Image result for matako hips
Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!

😁😁😁😂😂😂